Frobits
🎵 A song made on Frobits

Hisia Tamu Za Mapenzi (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Zubeda kipenzi, mama Afrika.
Wewe ni mrembo wa asili ya kusifika.
Kwako nimefika, umenifunika.
Upendo wako wanipa mwendo usio na magendo.
Arusha imeisha hakuna kama wewe.
Hekima yako imejaa heshima siwezi kuipima.
Maneno yako matamu moyo wangu unakufahamu.
Nakupenda mamaa, Zubeda, mwenzio ninabweda, kwa raha nimejaa furaha isiyo na karaha.
Sambaza upendo kama manukato ya maua mazuri yaliochanua.
Watoto wako wazuri, Veronica na Doni wanakutegemea.
Kazini uko makini kote kaskazini.
Katika marafiki wanaokuamini ni pamoja na mimi.
Nina imani nawe, moyo wangu umeshatathimini.
Zubeda, Zubeda, Zubeda!!!
Zubeda, Zubeda, Zubeda!!!
Mtoto wa kiafrika, Arusha unasikika, Tanzania unasifika!!

More songs by Mwana Listen to songs created by others
FROBITS