Frobits
🎵 A song made on Frobits

Maajabu Makuu

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

hahahahahahahh oyaaaaa unaweza usinielewe mzazi,
Acha kuzungukazunguka ebu tulia nawewe,
hii sio leo tu, imeanza toka zamani, yaani ni hivi..
siku ya wali nyama watu hawaendi mbali,
siku ya wali nyama watu hawaendi kucheza,
siku ya wali nyama watu wanazunguka zunguka jikoni,
wegine wanauliza Dada nanii kwani unapakua saa ngapi??? hahahahah oyaaaah
Hahahahah oyaa ukweli ndio huo, kama hauamini hata nyumbani kwenu,,
siku ukipika dagaa hauwezi kuona mgeni ila isku ukipika biriani ya ngamia utasikia wenyeweeeeeee hodiiii, wenyewe mpoooo,, nimekuja kuwasalimia tu niondoke hahah chezea nyama wewe.
oyaah mzazi ongeza nyama, punguza majani ya mbuzi ongeza nyama,
acha kupika makande kama mpare ongeza nyama, ebu acha ubahili ongeza nyama, achana na madagaa ongeza nyama,
nyama ndio kitu Muhaya wa Elimu anapenda, Mmasai wa Oganaizesheni ndio mambo yake toka kitambo, Uncle knanii anakula uku anasinzia hahahah chezea nyama,
Kuna dada yetu wa kihaya yeye huwa hali kabisa ila ukipika pilau nyama utamsikia daaaaaj leo nimepata apetaiti ya nyama hahahahha oyaaaaa mzazi ongez nyamaaaa

More songs by ItsgonnabeOk360° Listen to songs created by others
FROBITS