Frobits
🎵 A song made on Frobits

Mungu Akubariki

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Hakuna kitu kinachoitwa sala ya toba
Neno halijasema hivyo, kamwe!
Toba ni kugeuka, ni kuacha, ni kurudi
Kwa Baba... kwa Kristo!
Toba si maombi, toba ni kugeuka
Yohana alipiga kelele jangwani
"Itengenezeni njia Ya Bwana!"
Hakuwaambia wafunge macho waombe
Toba si maombi, toba ni kugeuka
Yohana alipiga kelele jangwani
"Itengenezeni njia Ya Bwana!"
Hakuwaambia wafunge macho waombe
TOBA NI KUGEUKA! TOBA NI KURUDI!
Mwizi wa mali anarudisha mara nne
Zakayo alisimama, akasema "Nitarudisha!"
Hiyo ndio toba... si maneno ya mdomoni!
TOBA NI KUGEUKA! TOBA NI KURUDI!
Mwizi wa mali anarudisha mara nne
Zakayo alisimama, akasema "Nitarudisha!"
Hiyo ndio toba... si maneno ya mdomoni!
Hakuna kitu kinachoitwa sala ya toba
Maandiko Matakatifu hayajasema hivyo
Petro hakuwaambia watu "rudia-rudia maneno"
Alisema "Tubuni... mgeuke... Mkabatizwe!"
Hakuna kitu kinachoitwa sala ya toba
Maandiko Matakatifu hayajasema hivyo
Petro hakuwaambia watu "rudia-rudia maneno"
Alisema "Tubuni... mgeuke... Mkabatizwe!"
Tumejifundisha kuomba... "Nisamehe Mungu"
Lakini miguu yetu bado iko njiani mwa dhambi
Mungu hataka maneno... Anataka mwelekeo
Acha dhambi, geuka, Na Kuamini Injili!
Tumejifundisha kuomba... "Nisamehe Mungu"
Lakini miguu yetu bado iko njiani mwa dhambi
Mungu hataki maneno... Anataka mwelekeo
Acha Maneno, geuka, Na kuamini Injili!
TOBA NI KUGEUKA! TOBA NI KURUDI!
TOBA NI KUGEUKA! TOBA NI KURUDI!
TOBA NI KUGEUKA! TOBA NI KURUDI!
Sio sala ya dakika 2... ni maisha mapya kila siku!
....The Grace walk....

More songs by josephlaizer689 Listen to songs created by others
FROBITS