SENTI CLARA, tunapanda juu
SENTI CLARA, tunapanda juu
Wazazi na walezi, je, mnatafuta shule bora kwa ajili ya binti yenu?
Karibuni katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Saint Clara iliyopo Wilaya ya Same, Kilimanjaro, karibu na Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi. Tunaamini kwamba βElimu ni Mwanga.β
Shule yetu hutoa elimu bora, nidhamu thabiti, na maadili mema katika mazingira salama na tulivu ya kujifunzia.
Mpe binti yako fursa ya kufanikiwa. Kwa maelezo zaidi, piga simu
SENTI CLARA, tunapanda juu
SENTI CLARA, tunapanda juu