Mama Shanice, wewe ni yote yangu
Lides, sitaki kufa bila wewe
Lides, moyo wangu unajua
Nakupenda sana, kila siku, kila dakika
Watoto wako ni watoto wangu
Ninataka kula pamoja nao, kufa pamoja nao
Mimi sitaki dunia ingine
Wewe ni mali yangu ya kweli
Kila asubuhi nafikiri wewe
Kila jioni najuta kuwa sina wewe
Lides, Mama Shanice, usiniache
Wewe ni kila kitu kwa mimi
Nakupenda wewe sana sana
Usiniache peke yangu
Lides, wewe ni mvua baridi
Wewe ni jua la asubuhi
Usiniache Lides
Nakupenda, nakupenda sana
Mwanawake wa ajabu, wewe
Kufa bila wewe si hayati
Nakumiss kila sekunde
Nafikiri jinsi wewe unavyokaa
Matatizo yako ni matataizo yangu
Faraha yako ni faraha yangu
Watoto wako nimewapenda
Kama vile unipenda wewe
Lides, Mama Shanice, usiniache
Wewe ni kila kitu kwa mimi
Nakupenda wewe sana sana
Usiniache peke yangu
Lides, wewe ni mvua baridi
Wewe ni jua la asubuhi
Usiniache Lides
Nakupenda, nakupenda sana
Simu yangu kila siku ninalipika
Just to hear your voice
Miss you more and more
Lides, karibu, karibu sana
Sijaweza kuishi bila wewe
Mwanzo mpya naanzisha na wewe
Kila kitu kwa wewe
Mama Shanice, Lides yangu
Nakupenda, nakupenda sana
Usiniache, usiniache
Wewe ni yote yangu
Mwanzo na mwisho