Frobits
🎵 A song made on Frobits

Furaha Yetu Wote (Remix)

0:000:00
Download
Reply with a song
Lyrics

Eeh ayee! Furaha yetu leo, imefika! Twende tukasherehekee maisha ni mafupi

Mambo vipi, watu wangu wa Songwe

Kumekucha asubuhi tukaingia misele ya kusaka chochote, Mungu si athumani si amebariki chochote, baada ya mipango ya wiki nzima hatimaye weekend hii hapa paap..

Leo tunajikusanya, vibe safi, si utani

Kila kona ya Songwe ina vibe si utani, aah tutalewa leo let's go wanangu

Furaha yetu, ndio yetu sote naanza kwa monie, napita Kuna showroom kwa zera na maliza the wheel

Twende sawa, mikono juu, turuke mangoma

Mziki unachezeka, moyo unafurahi

Kuna stress kidogo, tuziweke kando

Tunaachia nafsi, tunakufa jamani

Beat ina flow, kama maji ya bahari

Na gitaa kali lina-shake, kila mtu na wake

Tunaishi na kuisha usinipe ushauri bar utanilewesha, tutaongea J Tatu acha kunichelewesha, kama mvinyo upigwe maini yafanye kazi yake, aah na tukiumwa hatuna hela hapa wala nyumbani ni mipango ya sir God au sio

Hakuna kulala, ngoma kali za gasto huku Philippo

Twende sawa, mikono juu, turuke mangoma

Mziki unachezeka, moyo unafurahi wanangu

Tusisahau kuwaombea waliopo vitandani

Burudani ni tiba achia moyo enjoy your moment

Happy moment is not for everyone watu wanatendwa alooo

Ayee! Furaha yetu... kyetu sote

Ni mwarabu kwenye hii hapa tena

Thank you

Usigombanie demu wapo wengi na wewe utapata

More songs by Bonny Listen to songs created by others
FROBITS