Mmh, hisia tu
Eeh ni mwarabu kwenye hii tena naimba
Nakukumbuka usiku na mchana
Moyo wangu unacheza kama ngoma
Sikuweza kuzuia, ni hisia tu
Wewe ndio malaika wa maisha yangu
Kila siku ninakutafuta sikuoni uu wapi mama
Ninajaribu kusema lakini lugha inagoma
Mawazo ni makali, lakini wewe ni mkali zaidi
Nakuhitaji tu kwa maisha yangu mamaa eeh
Fanya kusahau maana dunia ina mengi mama
Hisia tu, ndio zinanitesa
Hisia tu mamaa, nakupenda
Hisia tu, moyo wangu unalia
Hisia tu, wewe peke yako
Nakuhitaji, mama
Hisia tu tu tu
Usiku unapofika ninakukumbuka
Macho yako yanaangaza kama nyota angani
Sikupendaga mchezo, ni ukweli ila
Wewe ni dawa ya roho yangu
Rudi tuwe pamoja, tuachane na dunia
Kuondoka kwako kunaniua pole pole
Mambo haya ya nini acha yaende mamaa Niko tayari kwako eh ilo tambua mchumba
Hisia tu, nakumiss sana
Hisia tu, ndio zinanitesa
Hisia tu mamaa, nakupenda
Hisia tu, moyo wangu unalia
Hisia tu, wewe peke yako
Nakuhitaji, mamaa ehh
Hisia tu tu tu
Hisia tu, mmh
Wewe tu,
Hisia tu,
Ukisikia naisha ujue ni wewe fanya urudi mrembo wangu...