Ayaa… ayaaa…!
Bobtech Catering imefika,
Huduma bora kwa kila tukio!
Bobtech, Bobtech, huduma ya ukweli,
Chiemo maber, ladha ya ajabu!
Harusi na sherehe, misiba na mikutano,
Bobtech Catering, tunawapa furaha!
(Ubeti)
Mahema na viti, tuko tayari,
Mapishi safi, wageni wafurahi.
Kutoka Sigomre hadi maeneo yote,
Bobtech tunahudumia kwa moyo wote!
Bobtech, Bobtech, chaguo lako leo,
Ubora na heshima, ndiyo desturi yetu.
Piga simu, weka nafasi yako,
Bobtech Catering Services…
Ladha inayogusa kila tukio!
🎸
Bobtech Catering…