Karibuni
sana...
chakula
kipo... (
Soprano)
Chapati
rolex
na
chai... (
Wote -
Amen)
Chapati
rolex
na
chai,
ndazi
na
chai
ya
moto (
Wote
kwa
pamoja -
kwa
upole)
Maziwa
baridi,
maji
safi
ya
baridi,
soda
ya
baridi
Chapati
rolex
na
chai,
ndazi
na
chai
ya
moto
Maziwa
baridi,
maji
safi
ya
baridi,
soda
ya
baridi
Asubuhi
njema,
tunawakaribisha (
kama
wimbo 316)
Chapati
rolex
tamu,
kwa
baraka
za
Mungu
Ndazi
na
chai
ya
moto,
kwa
nguvu
za
mwili
Kula
kwa
shukrani,
Mungu
atabariki
Maziwa
baridi,
kama
maji
ya
uzima
Maji
safi
ya
baridi,
kwa
afya
njema
Soda
ya
baridi,
kwa
furaha
ya
pamoja
Vyote
ni
baraka,
kutoka
kwa
Bwana
Chapati
rolex
na
chai... (
oooh)
Ndazi
na
chai
ya
moto... (
eeeh)
Maziwa
baridi...
maji
safi
ya
baridi...
soda
ya
baridi... (
Amina
Amina)
Amina...
Amina...
Amina...
Amina...
Amina...
Amina...
Amina...
Amina...
Amina...
Karibuni
sana...
kula
na
shukrani...
Chapati
rolex
na
chai...
ndazi
na
chai
ya
moto...
Maziwa
baridi,
maji
safi
ya
baridi,
soda
ya
baridi...
Amina...
Amina...
Amina...
Studio
Clé
de
Santé
chez
Patrick
Simissi
n'a
nobili