Nkafu, Nkafu Electricity
Wajua kazi, wajua kazi sana
Sisi ni wafundi wa umeme, bora zaidi
Walio bobea katika ufungaji, hakuna shida
Soral system, back-up yako, tunajua kazi
Fence yako itakua salama, tutafunga kwa haraka
Kamera nyumbani, kamera ofisini
Ulinzi wako ni kazi yetu, tutafanya sawa sawa
Electricity fence, pesa yako itakua safe
Nkafu Electricity, wajua kazi, poa!
Nkafu, Nkafu Electricity
Wajua kazi, wafundi wa juu
Umeme wako tutafanya sawa
Fence salama, nyumba salama
Nkafu, Nkafu Electricity
Jitusi, tunaeza kila kitu
Electricity fence, kamera, soral
Nkafu ni jina, nkafu ni kazi!
Twende kazi, hakuna kupiga kelele
Wazo lako ni kazi yetu, tutafanya haraka
Back-up system, tutaandika kwa sehemu
Fence yako itakua kali, watu hawezi kuja
Kamera ofisini, kamera nyumbani
Ulinzi wa umeme, security yako, tutafanya best
Siran yako ni siran yetu, tutakua silent
Nkafu Electricity, jitusi, ayee!
Wajua kazi, bobea zaidi
Fundi wa umeme, sio mchezo
Tutafunga kila kitu sawa sawa
Nyumba yako, ofisi yako, salama!
Nkafu Electricity, poa!
Wajua kazi, wajua kazi sana
Jitusi, ayee!
0765525620, tupo hapa, poa!