Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sebene ya Moyo

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

Taraaaaatinda talalalaaa!
Taraaaaatinda talalalaaaah!
Huuuuuu.....!hu! Hu! Hu! Yeeh!
Hoomu! Hoomu! Homu! Homu! Homu!
Ooooh! Yeeeh!
Uwooh uwooh uwooooh!
Uwooh uwooh uwooooh!
Korus
Oyeyiieh! Tabasamu,(nitamu)
Twawaombea(maisha marefu na utamu)
Hii dunia(ulinzi kwenu ni muhimu)
Tumukabidhi mwenyezi mungu
Ndio kinga,usalama na udumu,
Kimi(maisha kwenu marefu)
Kimi(utajir amani wanangu)
Baraka hizo oooh ooohooknh!
Taraaaaatinda talalalaaaah!
Taraaaaatinda talalalaaaah!
Huuuuuu.....! hu! Hu! Hu! Yeeh!
Hoomu! Hoomu! Homu! Homu! Homu!
Ooooh! Yeeeh!
Uwooh uwooh uwooooooh!
Uwooh uwooh uwooooooph!
Korus
Mema(na baraka)
Hekima(na kuheshimika)
Memaaaa(na kuheshimiwa)
Weeeemaaaa(na mibaraka)
Nina watia mikono
Nina wa fungulia maono
Nina tia ulinzi pasi kikomo
Ninaaa wahifadhi kwa moyo
Nina wahepushia vinyongo
Nina nina nina aaaah ah aaah haAa!
Huu! Huu! Huu uuh..
Korus
Tuna sema usiwaguse niguse mimi
Na shindilia mungu yupo pamoja na sisi
Nakuapia ushindi uliokamili
Ninaaaa uhakika na ushindi
Tuna waombea miliki
Tumee pokea zawadi timemeeerd
Tumepokea ushindi
Asanteeeee asanteeeee
Noel
Asanteeeee
Enoko
Asante.....
Shangazi zao
Asanteeee
Na mama yaoooo
Asante sana...
Naaaa nababu zao na bibi zao
Naama zao
Na nababa zao na anko zao...

More songs by meshackjairos Listen to songs created by others
FROBITS