(Sifa
kwa
Mungu,
amen)
Na
kama
nilikukosea
mahali,
rafiki
yangu
Toka
enzi,
tangu
siku
za
mwanzo
Mungu
ndiye
aliyetuunganisha
wewe
na
mimi
Leo
nasema
na
dunia
isikie
Wewe
ni
rafiki
yangu,
ninaekupenda
sana
Nakukumbuka
siku
zile
za
shida
Ulinishika
mkono,
huniacha
nife
moyo
Amen,
haleluya,
utukufu
kwake. (
Asante
Bwana,
utukufu
kwako)
Wewe
ni
ndugu
yangu
katika
Kristo
Urafiki
wetu
umefungwa
na
damu
ya
Yesu
Sio
damu
ya
tumbo,
ni
zaidi
ya
ndugu
Neema
ya
Mungu
ndiyo
imetushika
Wewe
ni
rafiki
yangu,
wa
thamani
kweli (
Sifa
kwa
Mungu,
amen)
Wakati
wa
raha
ulicheka
nami
Wakati
wa
machozi
uliomba
pamoja
na
mimi
Ulinikumbusha
ahadi
za
Bwana
Ulinipa
nguvu
wakati
nilipokata
tamaa
Katika
ulimwengu
huu,
ukiacha
wazazi
wangu
Wewe
ndiye
mtu
ninayempenda
kwa
dhati (
Yesu
ni
mwema,
utukufu)
Wewe
ni
ndugu
yangu
katika
Kristo
Wewe
ni
ndugu
yangu
katika
Kristo
Urafiki
wetu
umefungwa
na
damu
ya
Yesu
Sio
damu
ya
tumbo,
ni
zaidi
ya
ndugu
Neema
ya
Mungu
ndiyo
imetushika
Wewe
ni
rafiki
yangu,
wa
thamani
kweli (
Sifa
kwa
Mungu,
amen)
Na
kama
nilikukosea
mahali,
rafiki
yangu
Nisamehe,
rudisha
moyo
wako
kwangu
Maana
upendo
wa
Kristo
utufunike
daima
Tuendelee
kutembea
katika
nuru
yake (
Mungu
ni
mwaminifu,
oh
yes
Lord)
Urafiki
wetu
ni
Mungu
pekee
katuunganisha
Urafiki
wetu
ni
Mungu
pekee
katuunganisha
Hata
dhoruba
ikija,
hatutatetereka
Tutashikilia
ahadi
zake
hadi
mwisho
Wewe
ni
baraka
kubwa
maishani
mwangu
Kila
siku
namshukuru
Mungu
kwa
ajili
yako (
Praise
Him,
mtukuzeni
Bwana)
Wewe
ni
ndugu
yangu
katika
Kristo
Urafiki
wetu
umefungwa
na
damu
ya
Yesu
Sio
damu
ya
tumbo,
ni
zaidi
ya
ndugu
Neema
ya
Mungu
ndiyo
imetushika
Wewe
ni
rafiki
yangu,
wa
thamani
kweli
Ndugu
katika
Kristo,
daima
milele
Tunatembea
pamoja,
chini
ya
mbawa
zake
Asante
kwa
upendo,
asante
kwa
uaminifu
Amen,
haleluya,
utukufu
kwake.
Amen,
haleluya,
utukufu
kwake. (
Amen,
amen,
amen)