[male
vocals]
[INTRO - SEK 0-8: GITAA LAINI LINAPIGA MDOGO MDOGO] Ni
RAMSO
SOUND
sikia...
Ngoma
ya
wakubwa...
[INTRO - SEK 0-8: GITAA LAINI LINAPIGA MDOGO MDOGO] Ni
RAMSO
SOUND
sikia...
Ngoma
ya
wakubwa...
[VERSE 1 - SEK 8-50: SAUTI MBELE, GITAA NYUMA] Nawashukuru
wazazi...
wakati
wowote
Ushauri
wenu
umeniletea...
mafanikio
mema
Sasa
naishi
na
watu
vizur...
eee!
Sasa
naishi
na
watu
vizur...
eee!
Mama
ulinibeba
tumboni...
miezi
tisa
Baba
ulifanya
kazi...
jasho
na
damu
Leo
nasimama
kichwa
juu...
kwa
sababu
yenu
Asante
wazazi
wangu...
Mungu
awabariki
Asante
wazazi
wangu...
Mungu
awabariki [
BREAK
NDOGO -
SEK 50
-60:
GITAA
LINAPANDA
KIDOGO] [
eeeh...
asanteni
wazazi
wangu...] [
acha
gitaa
lipige
sek 3
halafu
rudi]
[HOOK - SEK 60-90] Wazazi
asanteni...
asanteni
sana
Bila
nyie
nisingekuwa...
nilipo
leo
Wazazi
asanteni...
eee
wazazi
Ushauli
wenu
ni
dhahabu...
siwezi
kusahau
[VERSE 2 - SEK 90-120] Nilipokuwa
mdogo...
mlinifundisha
heshima
Msiseme
vibaya...
msaidie
maskini
Leo
nasimama
kidete...
kwa
sababu
yenu
Nawaambia
dunia
nzima...
asante
wazazi
wangu
Nikianguka
mlininyanyua...
mkiniambia
simama
Nikiwa
na
njaa
mlikula
njaa...
ili
mimi
nishibe
Deni
lenu
siwezi
kulipa...
hata
kwa
pesa
zote
Lakini
naomba
dua
zenu...
ziendelee
kunilinda
[BRIDGE - GITAA LAINI TENA] Aaa
wazazi
wangu...
eee
Ninyi
ni
mizizi
yangu...
eee
Mimi
ni
tawi
tu...
linalotoa
matunda
Shukran
kwa
kila
kitu...
asanteni
wazazi
[OUTRO - GITAA LINAZIMA POLEPOLE] Wazazi...
ninyi
ndio
nguzo
yangu
Ni
RAMSO
SOUND...
naimba
kwa
heshima
Mungu
awape
uhai
mrefu...
amiin