Frobits
🎵 A song made on Frobits

Ahadi ya Ujio wa Yesu (Remix)

Pr. Elton Mvanga · 🇹🇿 Tanzania
0:000:00
Download Remix
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male

vocals] 1.

Basi

mimi

nikienda

na

kuwaandalia

mahali,

Nitakuja

tena

niwakaribishe

kwangu;

ili

nilipo

mimi,

nanyi

mwepo.

Mpendwa

mwenzangu

shikilia

imani

yako

kikamilifu

ukiingojea

ahadi

hii,

mambo

ya

kwanza

yanayotuumiza

na

kutukatisha

tamaa,

yote

yatapita,

Yesu

anapokuja

tena.

Mambo

yote

mapya

tumaini

linaanzia

hapa.

Ni

hakika

Yesu

anakuja

na

atamlipa

kila

mtu

sawasawa

na

kazi

yake,

hivyo

kila

mshiriki

wa

kanisa

jitahidi

kuwafikia

wengi

kidigitali

kwa

ujumbe

wa

matumaini

ya

marejeo

ya

Bwana

wetu

Yesu

Kristo

na

baadae

endelea

kujifunza

nao

maandiko

matakatifu

kwa

njia

ya

masomo

ya

Sauti

ya

unabii.

Mambo

yote

mapya,

tumaini

linaanzia

hapa. 2.

Masomo

hayo

yanapatikana

kwa

urahisi

katika

maduka

yetu

yote

ya

ABC

upande

wa

Kusini

mwa

Tanzania,

bei

yake

ni

elfu

tatu

na

cheti

chake

ni

elfu

moja

tu.

Ndio

maana

Mkurugenzi –

Mchungaji

John

Nanguka

anayesimamia

Sauti

ya

Unabii

katika

jimbo

letu

la

Southern

Coridor

Trial

Field,

anakutia

moyo

kusomesha

walau

mtu

mmoja

na

kuendelea.

Tunawezaje

kutulia

ikiwa

Bwana

ametupa

agizo.

Ni

hakika

Yesu

anakuja

na

atamlipa

kila

mtu

sawasawa

na

kazi

yake,

hivyo

kila

mshiriki

wa

kanisa

jitahidi

kuwafikia

wengi

kidigitali

kwa

ujumbe

wa

matumaini

ya

marejeo

ya

Bwana

wetu

Yesu

Kristo,

na

baadae

endelea

kujifunza

nao

maandiko

matakatifu

kwa

njia

ya

masomo

ya

Sauti

ya

unabii.

Mambo

yote

mapya,

tumaini

linaanzia

hapa.

More songs by Pr. Listen to songs created by others
FROBITS