[female vocals] Penzi
lako
tamu
mithiri
ya
asali,
hakika
umeniweka
katika
huba
zito
na
tamu
kama
achali.
Hakika
wewe
ndio
mfalme
wangu
na
Mimi
ndio
Malkia
wako.
Amini
Nakupnda
naahidi
kuto
kukutenda.
Kwa
penzi
ili
najiuliza
why
sikukupata
mapema.
Nakupenda
mfalme
wangu,
ama
kwa
hakika
Mimi
Shania
nimekufa
nioza
kwa
penzi
lako