Naomba
nyimbo
ya
dini
ikisema
mimi
ni
wa
mungu
Ukielezea
ukuu
wa
mungu
juu
ya
maisha
yangu
kijana
nilietokea
maisha
ya
chini
ameniokoa
katika
ajali
ya
bajaji
ameniokoa
katika
ajali
ya
kuchomwa
visu
kaniinua
kanipa
mamlaka
juu
ya
shetani
amenilinda
n
kuniheshimisha
amenizawadia
zawad
nono
mke
mwema
zaina
twahiry
mbwambo
amenipa
familia
na
watoto
wema
bonny ,
donald
na
genesis
hakika
mimi
n
wa
mungu
tuu