[male
vocals] 1.
Hatujui
siku
wala
saa
lakini
kwamba
Yesu
atakuja,
ni
hakika
anakuja
tena
kuchukua
wateule
wake,
parapanda
italia
na
wafu
waliolala
katika
Yeye
watafufuliwa
kwanza.
Chorus:
Jiangalie
usije
ukalemewa
na
ulafi
na
ulevi
na
masumbufu
ya
maisha
haya
na
siku
hiyo
ikakukuta
kwa
ghafula
au
kama
mtego.
Chorus:
Jiangalie
usije
ukalemewa
na
ulafi
na
ulevi
na
masumbufu
ya
maisha
haya
na
siku
hiyo
ikakukuta
kwa
ghafula
au
kama
mtego. 3.
Mwamini
Yesu
Kristo
awe
Bwana
na
mwokozi
wa
maisha
yako
na
daima
ishi
sawasawa
na
mapenzi
yake
ili
siku
hiyo
uwe
tayari
kukutana
na
Bwana
wako
kwa
urithi
wa
uzima
wa
milele.
Chorus:
Jiangalie
usije
ukalemewa
na
ulafi
na
ulevi
na
masumbufu
ya
maisha
haya
na
siku
hiyo
ikakukuta
kwa
ghafula
au
kama
mtego.