[male
vocals] (
Ayy,
eeh,
salamabila
namoya,
sisi
wa
machiniste
tunaliyasana)
Rafiki
yetu,
mpenzi
wa
roho
Safari
yako
imefika
leo
Nakumbuka
siku
tulicheka
pamoja
Kwenye
uwanja
wa
furaha
ya
kweli
ni
pale
kwa
Mukubwa
debaba
Ulikuwa
mufuraivu,
moyo
wako
mwanga
Ulivyoimba,
ulimwengu
ukatulia
Ram's,
roho
yako
imetupumzisha
Uliishi
nasi
kwa
upendo
mkuu
Nuru
yako
itaishi
ndani
yetu
milele
Safari
njema,
rafiki
yetu
wa
kweli
Lopango
letu
limepoa
sasa
Sauti
yako
haisikiki
tena
mpendwa
Lakini
kumbukumbu
zako
ni
zawadi
Tunazihifadhi
ndani
ya
myoyo
yetu
Ram'sPomba,
roho
yako
imetupumzisha
Uliishi
nasi
kwa
upendo
mkuu
Nuru
yako
itaishi
ndani
yetu
milele
Safari
njema,
rafiki
wa
kweli (
Upendo!
Mkubwa!)
Moyo
unauma,
macho
yanatoka
chozi
Lakini
tunajua
uko
mahali
pema
Umekuwa
malaika
sasa,
eeh!
Tutakulinda
ndani
ya
nyimbo
zetu
Kila
tunapokumbuka
ukarimu
wako
Ulikuwa
ndugu,
ulikuwa
mwanga
Kifo
kimechukua
mwili
wako
Dragon,
si
upendo
Ram'sPomba,
roho
yako
imetupumzisha
Uliishi
nasi
kwa
upendo
mkuu
Nuru
yako
itaishi
ndani
yetu
milele
Safari
njema,
rafiki
wa
thamani (
Eehe!
Malaika
wa
amani)
Lala
kwa
amani,
Ram's
Dragon
Pomba,
Tunakupenda
milele,
rafiki
wa
kweli
Debaba,
ivori,
nawa
machiniste
wooote
tunakuliliya
kwa
uchungu,
Tukikumbuka
siku
tulikuwa
nakutana
kwa
Mukubwa
debaba
machozi
tu
njo
yana
vuya
mwenzetu,
Ivi
bifle
jay'b
na
r.
zombi
wanasema
ulale
salama
pumzikakwaamani,
emedi
dinozor
nawa
pika
chuma
wote
wanakutakiya
amani
uko
ulipo,
Lebon,
mamadu,
twenty,
useni,
gaï
bozi,
r.
dis
mutonge,
jembe
jonijo,
bifle
jay'b,
emedi
dinozor,
champion
r.
zombi,
jenome,
Cesar,
nawa
machiniste
wooote
wanaliya
sana,
nakusema
mungu
akulaze
maali
pema
rafikiyetu
mpendwa,
bay
bay
ramazani
Dragon
Pomba,
lala
salama,
Tapis
rouge
fula
ba
yuma
inakutakiya
amani
amani
mahali
umekuwa (
Malamu,
malamu,
malamu...)
Kode,
pika
tekoh