[male vocals] Nakushukuru
kwa
kunizalia
mtoto
wa
kike
Haynath,
Ni
mrembo
kama
wewe
mama
yake,
Pole
kwa
changamoto
zote
ulizopitia
kipindi
cha
ujauzito
hadi
kujifungua,
Nakuahidi
shakila
Rashid
mimi
nitakuwa
mume
bora,
na
pia
baba
bora
kwa
mtoto
wetu
mrembo..
asante