[male vocals] nikababa
tena......
oooh
tena
Jennifer...
oh
Jennifer...
Tharaka
tulipush
life
pamoja,
tulikuwa
na
njaa
na
ndoto
Tulilala
njaa,
tukaamka
na
hope,
tulishikana
kwa
moto
Hakuna
aliyetuamini,
walidhani
tuta-fall
Lakini
wewe
ulinistand,
ulinipa
nguvu
kati
ya
all
Graduation
day
ulinipa
hopes
za
life,
uliniambia
tuta-win
Ulinishika
mkono
ukasema
babe,
kesho
yetu
ita-begin
Ulinipamba
vizuri,
ukaniambia
uko
proud
of
me
Lakini
tangu
uondoke
Jennifer,
zote
zimefail,
I
can't
see
Degree
iko
kwa
wall,
but
moyo
iko
empty
Bila
wewe
karibu,
life
yangu
ni
empty
Jennifer,
nilikupenda
zaidi,
zaidi
ya
moyo
wangu
Umeniacha
na
maumivu,
sasa
nalala
peke
yangu
Bado
nakuwaza
usiku,
Jennifer
bado
nakupigia
simu
Lakini
moyo
wako
umeenda,
umeenda
na
ndoto
zangu
Let
me
say
thanks,
kwa
kila
kitu
Jennifer
Ulinisupport
when
no
one
did,
ulikuwa
shoulder
yangu
Wakati
watu
walinicheka,
wewe
uliniambia
I
can
Ulinipa
pesa
ya
mwisho,
chakula
cha
mwisho,
ulinipa
plan
Sina
cha
kulipa,
sina
gold,
sina
mali
Lakini
moyo
wangu
wote,
na
gratitude
inani-fill
Asante
kwa
kuni-love,
when
I
had
nothing
Asante
kwa
kuni-believe,
when
I
was
bluffing
Najua
ulimove
on,
najua
uko
far,
maybe
na
mwingine
Na
najua
haifai
tena,
kukupigia
usiku
na
mchana
Lakini
moyo
unapiga
wewe
tu,
hausikii
maneno
yangu
Inaita
Jennifer
tu,
usiku
na
mchana,
moyo
wangu
Utaishi
kwa
moyo,
hadi
mwisho
wa
safari
Hata
kama
hutakuwa
wangu,
jina
lako
ndani
ya
moyo
bado
liko
Promise
yangu
bado
iko,
tutapiga
ruracio
home
one
day
Wazee
watafurahi,
tutafunga
ndoa,
no
more
delay
Na
tutafika
Old
Trafford
baby,
mechi
ya
Man
U
tutawatch
na
wewe
Nimekuwekea
jersey
mbili,
red,
mimi
na
wewe
Kama
ni
ndoto
tu,
basi
ni
ndoto
tamu
Kama
ni
kweli,
Jennifer
niko
hapa,
niko
hapa
tu
Jennifer,
nilikupenda
zaidi,
zaidi
ya
moyo
wangu
Umeniacha
na
maumivu,
lakini
bado
nakupenda
wangu
Bado
nakuwaza
usiku,
Jennifer
moyo
ni
wako
tu
Utaishi
humu
ndani,
hadi
pumzi
iishe
tu...
memories
niko
nazo,
kwanza
siku
ya
kwanza
kerugoya
nikikam
kukupick,
kwa
mom
aundrey
nyeri
nilikam,
home
pia
ulikam
kunipiga
support
when
i
needed
you
to
come,
life
mwea
ulinipiga
intro
na
most
of
the
tym
ungekam
nikikam
Thanks
for
everything...
Jennifer'
Na
pole
sana
my
G,
moyo
ukipiga
mtu
mmoja
pekee
ni
ngumu.