[female vocals] Twende
duniani
tunahubiri
injili
ya
wokovu
kwa
mataifa
yote.
Watu
wamjue
Mungu.
Watu
wanaangamia
kwa
kukosa
maarifa
ya
Mungu.
Utumiaji
dawa
za
kulevya,
ukahaba,
ulevi,
uchawi
na
wizi
kizazi
kinaangamia
twende
tunahubiri
tuliponye
taifa
letu
tukiokoe
kizazi
hiki.
Nguvu
ya
taifa
na
Dunia
inateketea.