[female vocals] Twamshukuru
Mungu
Kwa
Ibada
nzuri
ya
watoto
iliyofanyika.
Miriamu
Zyunga
na
Happy
Kilamlya
wameongoza
vizuri .
Wazee
wa
kanisa
nao
wamesimamia
Ibada
Kwa
upendo
mkubwa.
Dorice,
Luckness,
Dovin
na
Advela
mmehudumu
vizuri.
Msoma
somo
Dorini
tunakupongeza.
Salaam
za
watoto
zililetwa
na
Christina.
Tunawapongeza
Sana
Watoto
wote.