Ni njozi nzuri,furaha tumaini..
Kwenu wawili,
Uzao wa my queen(Ni fahari)
Oooooho! Huo wowo×2 w0w0
Mungu ibariki....Familia hiiii
Mungu ibariki....
Nasikia ufalme sahiihi
Zawadi ! Nizawadi
Umeniheshimisha...hhhh
Umenibadishisha jina)
Ni njozi nzur,furaha tumaini
Kwenu wawili,
Uzao wa my quern(nifahari)
Oooooh! Huo wowo×2 wowi
Noel dada zako hao
Mtambulishe na Enock.
Mwite doto,
Mwingine kurwa huyo
Noel dada zako hao,
Mtambilishe Enock,
Mimi baba yao
Huyu mama yao ×3 Noel dada zako hao
Mtambulishe na Enock.
Mwite doto,
Mwingine kurwa huyo
Noel dada zako hao,
Mtambilishe Enock,
Mimi baba yao
Huyu mama yao