[Intro] Yeah...
Munduliiii
in
the
building!
This
one
is
for
the
real
leader,
Mshua
Myron.
Let’
s
go! [
Chorus]
Tunakukubali
mshua,
we
will
always
be
with
you,
Jeshi
lako
liko
tayari
kwa
vita
yeyote
mkuu!
Tunakukubali
mshua,
we
will
always
be
with
you,
Jeshi
lako
liko
tayari
kwa
vita
yeyote
mkuu! [
Verse 1]
You
treated
us
like
family,
never
played
the
rank
or
position,
Open
door
policy,
guided
us
with
clear
vision.
When
mistakes
happened,
you
never
yelled
or
got
mad,
Showed
us
how
to
fix
it,
best
boss
we
ever
had.
Wewe
ni
baraka
kwenye
maisha
ya
wengi,
Mungu
hatokuaacha
daima,
baraka
ziko
nyingi.
Nuru
ya
maisha
yako
itaangaza
daima
mshua,
Wewe
sio
boss
tu,
bali
baba
wa
team,
tunakutambua! [
Verse 2]
Umahiri
wako
sio
wa
mfano,
Mengine
niyaweke
kwenye
mabano,
Maana
unastahili
zaidi
ya
sifa
mshua!
Tunakuombea
heri
na
fanaka,
Mungu
akuangazie
baraka
na
heri
katika
yote,
Uliyopanga
on
the
next
side,
stand
tall
through
it
all! [
Chorus]
Tunakukubali
mshua,
we
will
always
be
with
you,
Jeshi
lako
liko
tayari
kwa
vita
yeyote
mkuu! [
Outro /
Hype
Section]
Chapter
mpya
itakuwa
balaaa!
Hahahahaha!
Nasemaje
chapter
mpya
itakuwa
balaa
mshua,
All
the
best
kamanda!
Mdowago
Mozey,
and
here
they
call
me
Munduliiiiiiii!
Salute
Mshua
Myron!
Straight
to
the
top!