[male vocals] Kazi
njo
maisha,
fam!
Big
man
ting,
sikia!
Wakati
ni
pesa,
usinipotezee
bure
Samani
yangu
inavuta
pesa
kunitafuta,
niko
mbere
Sio
kupinda,
kazi
njo
inatupa
heshima
Chapa
kazi
mwanangu,
usikae
na
kusimama
Wasiofanya
kazi,
wasile,
hiyo
ni
sheria
Kazi
yako
ndio
thamani,
usiogope
kupotea
Kazi,
kazi,
kazi
njo
maisha (
Big
man
ting!)
Kazi,
kazi,
kila
mtu
chapa
kazi (
Yeah!)
Wasiofanya
kazi,
wasile,
asiye
kazi
na
asile
Kazi,
kazi,
njo
maisha,
njo
pesa (
Rrr!)
Washofere
barabarani,
chapa
kazi!
Motard,
chapa
kazi,
mlimaji,
wachuruzi
Wabombere,
bakantonye,
wauzisha
sombe,
dadu ,
wa
mama
wauzisha
ndagala ,
Déborah
Hélène,
wauzisha
pombe ,
watengeneza
mayi,
wamaso ,
wamenuizie,
wachagua
kawa ,
usizarau
kazi
wewe!!
Wauzisha
lindra
maman
foibjile,
Bamama
ya
benye,
musururu,
kila
mtu
kimbie
Kazi
ni
kazi,
hakuna
kazi
ndogo
Fanya
kwa
uaminifu,
utaona
mambo
mado-do
UJUMBE
HUU
UMELETWA
NA
MELKI
MOKILIMAKE
DJOEL
KIBISI
Kazi,
kazi,
kazi
njo
maisha (
Ay!)
Kazi,
kazi,
kila
mtu
chapa
kazi (
Gyaldem!)
Wasiofanya
kazi,
wasile,
asiye
kazi
na
asile
Kazi,
kazi,
njo
maisha,
njo
pesa (
Still!)
Wapasta,
musifundishe
watu
kutoa
tu
Fundisheni
kutumika,
wapate
wao
sadaka
na
utukufu
Kazi
ni
baraka,
mikono
yenu
itawatoa
kwa
giza
Fanyeni
kazi
kwa
bidii,
maisha
yatatokeza
Wa
salonie,
wafarmcier,
wa
édition
aire
Bastokere,
chapa
kazi,
msiwe
na
staha
ya
hewa
Nguvu
ya
leo
ni
matunda
ya
kesho,
kumbuka
Kazi
njo
mhimili,
maisha
yatafurahika
Kazi,
kazi,
kazi
njo
maisha (
Wagwan!)
Kazi,
kazi,
kila
mtu
chapa
kazi (
Yeah!)
Wasiofanya
kazi,
wasile,
asiye
kazi
na
asile
Kazi,
kazi,
njo
maisha,
njo
pesa (
Still!)
hauna
still
kama
hauna
pesa ,
piya
kupata
ni
kazi
oh
oh
oh
mi
melki
mokilimaki
DJOEL
kibisi (
m.
m.
j.
k)
NAKUPA
ujumbe
HUU
skià ?
fanya
kazi
fanya
kazi
fanya
kazi
Kazi
njo
maisha,
fam!
Chapa
kazi,
usipoteze
wakati!
Big
man
ting!
Kazi,
kazi,
kazi
njo
maisha!
M.
m.
j.
k