Mmmmmmmmm Ayishaaaaaa, yule mrembo. Toka nilipotoka Tanzania, siwezi kukusahau mama, we mate mara moja tu lakini kumbukumbu zimekaa akilini mwangu. Uzuri wako umefanya Krazy uwe daima akilini mwangu mchana na usiku.
Mchana na usiku, huwa nawaza weweuuuuuu Ayisha. Aaaaa mrembo wa Tanzania nakupenda sana
Mchana na usiku, huwa nawaza weweuuuuuu Ayisha. Aaaaaa mrembo wa Tanzania nakupenda sana
Mmmmm Naweza kukuletea Zambia? Ili niweze kukuona kila siku, kwa sababu uzuri wako na tabasamu lako huleta furaha maishani mwangu. Mmmmm wewe ni mwema mmmm aaaaa umenyenyekea, Ayisha unastahili kupendwa sana na nakuahidi kukupa penzi hilo aaaaaaaaaaaaaa sana.
Mchana na usiku, huwa nawaza weweuuuuuu Ayisha. Aaaaa mrembo wa Tanzania nakupenda sana
Mchana na usiku, huwa nawaza weweuuuuuu Ayisha. Aaaaaa mrembo wa Tanzania nakupenda sana
Eee nipo zambia ila moyo upo Tanzania naweza kuwa mbali mmmm lakini rohoni nipo na wewe Tanzania. Mapenzi yangu kwako yanazidi kukua kila siku, ama nikuone au nisikuone, hata ukiwa mbali sana, iiiiiiiiiiiiii mapenzi yangu kwako Ayisha yapo sawa. Tafadhali naweza kukuleta Zambia? Njoo ukae na mimi tunajenga familia yenye furaha mmmmmmm Aisha tunajenga familia pamoja. aaaaaaaa Ayisha, tunajenga familia pamoja.
Mchana na usiku, huwa nawaza weweuuuuuu Ayisha. Mmmmm uzuri wa Tanzania nakupenda sana.
Mchana na usiku, huwa nawaza weweuuuuuu Ayisha. Aaaaaa mrembo wa Tanzania nakupenda sana
Ayisha, asante kwa wema wako, umenifanya nijisikie nyumbani Tanzania, Tanzania sasa ni nyumba yangu ya pili kwa sababu yako, wewe ni mnyenyekevu sana, wewe ni mwema sana. Ninakupenda na nitakupenda daima. Mungu akubariki sana.
nakupenda sana.