[female vocals] Pumzika
kwa
Amani
Cleophace
lisakafu
shujaa
ulieumaliza
mwendo
Jasiri
ulietuonesha
wanao
njia
ya
kupita,
uliondoka
angali
tunakuhitaji,
ukatuachia
upendo
daima
tushikamane
ukasema,
ndugu
mkipendana
nawatu
baki
watawapenda
Hakika
babaetu
unaishi
mioyoni
mwetu,
siku
uliyo
tuacha
Butimba
iligubikwa
na
majonzi,
pamoja
na
waumini
wa
Parokia
ya
Fransisco
wa
asizi
hususa
kwaya
yako
ya
mtakatifu
karoli
lwanga,