Frobits
🎵 A song made on Frobits

Amani Kwangu

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[solo lead vocal — no backing vocals, no harmonies, single vocal track only] Mapenzi

Furaha

amani

kwangu

vimeumbwa

na

wewe

Huzuni

na

simanzi

pia

zimefutwa

na

wewe

Thamani

na

uzuri

wa

dunia

ni

kwasababu

nipo

nawe

Kwako

napata

pumziko

kwasababu

amani

ni

wewe 2.

Siwezi

kukweka

sehemu

yoyote

tofauti

coz

umenika

moyoni

Siwezi

mwingine

kumuweka

ulipo

kwasababu

we

umejaa

rohoni

Siwazi

mwingiiine

kwasababu

we

umejaa

ndotoni

Hata

dunia

na

vyote

vibadilike

wewe

kwangu

utabaki

wa

thamani

Niliteswa

huko

zamani

na

nyoka

kibao

ndio

maana

ulinikuta

naogopa

hata

jani

Dunia

yangu

ya

mapenzi

ilivunjika

ikapotea

niwewe

umeleta

ramani

Nashukuru

kwa

Mungu

asante

kwa

kukutuma

aniletee

amani

Varse .....

Huchekaga

alone

tu

kichwani

ukipita

coz

furaha

ni

wewe

Nitajifunga

bango

wote

wasome

wakipita

wajue

nipo

na

wewe

Uwe

na

furaha

iliyokamilika

moyoni

upo

mwenyewe

Nasi

ni

binadamu

hatuja

kamilika

so

nikikosa

nielewe

Sikuwahi

kuiona

raha

ya

vileo

ila

kirahisi

kwa

penzi

lako

umenifanya

nilewe

Kama

kifo

kwa

samaki

bila

maji

basi

pia

ni

hivyo

mimi

bila

wewe

Hawajui

najua

ila

kiza

kinene

dhoruba

njaa

huzuni

upweke

haya

ndiyo

maisha

yangu

bila

wewe

Sio

kwa

ukamilifu

kwani

mimi

ni

binadamu

ila

kwa

uwezo

wangu

wote

kwenye

haya

maisha

yaliyobakia

nitabaki

na

na

kufurahi

na

wewe

Hata

kupanga

chumba

tu

ilikuwa

ngumu

ila

baada

ya

wewe

kuja

basi

nyumbani

ni

popote

ulipo

wewe...... ....

Verse

Amesema

shida

hata

dholuba

na

njaa

ye

atabaki

na

mimi

Ananipenda

haweki

masharti

mpaka

nashindwa

kuamini

Niliombe

baraka

kutoka

kutoka

kwa

Mungu

ndio

we

ukaja

kwangu

maishani

Ninavyokupenda

we

maraika

wa

moyo

wangu

ukiwa

sumu

bado

ntakufanya

chai

Nitavumilia

yako

mapungufu

ukiwa

kitanzi

kwangu

ntakufanya

tai

Nikigombana

na

wewe

na

wewe

nisipo

sawa

na

wewe

napenda

unavyowaficha

jirani

unastahili

sifa

majina

yote

mazuri

fahari

na

kila

thamani

kwa

sababu

kama

usingekuja

wewe

dunia

ingekuwa

peku

ya

mbigiri

safari

Sintakuwa

mnyonge

dhidi

ya

yeyote

duniani

ila

niamini

kwako

sintoleta

ushindani

Tushikane

siku

zote

kipenzi

cha

moyo

wangu

safari

yetu

isiishie

njiani

More songs by Emmanuell Listen to songs created by others
FROBITS