Frobits
🎵 A song made on Frobits

Sadam Mulama Aziz kwa Kimilili (Remix)

malachosei75@gmail.com · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[male vocals] Mimi

ni

Walela

Wafula

kutoka

kibingei,

ningependa

kuambia

watu

wa

Kimilili

KUWA

kura

ya

mp

piga

kwa

Sadam

Mulama

Aziz,

yeye

anatosha

kuongoza

Kimilili

kwa

jumla.

Kibingei

ward

imemkubali,

Maeni

ward

imemkubali,

Kamukuywa

ward

imemkubali,

Tongaren

ward

imemkubali.

Maendeleo

amefanya ,

amegawa

wasiojiweza

mahindi

ya

kupanda,

amepea

wamama

wajane

elfu

kumi

duveee,

amepea

walemavu

zaidi

ya

elfu

tatu

mabaiskeli

za

kutembelea

Na

mikongojo.

Kila

wakati

watu

wamekuwa

wakipewa

pesa

lunch ,

school

fees

amelipia

watoto

Na

kuwafanyia

shopping

zaidi

ya

elfu

moja.

Ulienda

Kwa

mashule

amekuwa

akichimba

maji

More songs by malachosei75@gmail.com Listen to songs created by others
FROBITS