Frobits
🎵 A song made on Frobits

Baraka za Ibrahim Simion

kaleso kipande🥸🥸 · 🇰🇪 Kenya
0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Tuna

sherehekea

siku

nzuri

siku

ya

kumweka

wakfu

mtoto

IBRAHIM

SIMION

wewe

NI

Baraka

Kwa

familia,

umati

uliokusanyika

unashangilia

Nifuraha,

shangwe

na

bashasha

haya

Leo

TUFIRAHIE

pamoja

Kwa

Baraka

zake

Mungu

kutuletea

mtoto

IBRAHIM

SIMION.

Pokea

shukrani

ewe

mwenyezi

Mungu

Kwa

Baraka

hii

Acha

jina

lako

liinuliwe

milele

Tunakuomba

Bwana

umulinde

kijana

wako

kibaraka

wako

amen

Utusaidie

Bwana

kumlea

Ibrahim

katika

njia

impasayo

ili

asiyasahau

mausia

yako

halleluyah

ameen

More songs by kaleso Listen to songs created by others
FROBITS