[male vocals] Wimbo
wa
siku
ya
mahafali
ya
wanafunzi
wa
kidato
cha
nne
wa
shule
ya
Wella
secondary.
Sisi
walimu
wao
Tuliwapokea
wakiwa
wadogo,
Tumewalea
kwa
upendo,
tumewafundisha
kwa
hekima,
miaka
minne
imepita
Wella
inajivunia
wao.
Tunawapenda,
tunawafurahia
na
tunashangilia
pamoja
nao
katika
siku
hii
njema.
Tunawatakia
kheri
ktk
mtihani
wao
wa
Taifa
Tunaomba
Mungu
awape,
Kalamu
ya
ujasiri,
moyo
wa
ushindi,
Mtihani
ukiwajia,
wasiogope
kabisa,
Tupo
nyuma
yao,
tunawaombea
dua.
Madawati
watayaacha,
lakini
elimu
itabaki,
Tabia &
nidhamu,
ndizo
zitakazowataki,
Msisahau
maadili
na
sala
zetu.
Wao
ni
fahari
yetu.