[male vocals] Nakupenda
Sana
mschana
wangu
natakanikuoe
ili
tutunzaneni
natupate
watoto,
mambo
yakhiribika
usinikasirikie,
maish
hubadilika
vumilia
mama
wangu,
mambo
hubadilika
nasiku
moja
yatakuwa
sawa,
watu
wanaweza
kukucheka
kwamba
mwanaume
wako
Hana
pesa
nahawezi
kukupa
kitu,
lakini
usijali,
mambo
hubadilika
na
sikumoja
yatakuwa
sawa,
kumbuka
tulikotokani
mbali
kumbuka
tulikopita
katika
mazuri
namabaya
tulikuwa
pamoja
nahata
sasa
hivi
Mambo
yatakuwa
sawa
tu
mpenzi
wangu
vumilia
yatakuwa
sawa,
watuwanacheka
tu,
wanataka
tuwaombe
lakini
mungu
atatubariki
hivi
karibuni
vumilia
mpenzi
wangu
mambo
yatakuwa
sawa