Klassique media and entertainment.
Klassique Media and Entertainment!
Kazi ni kiwango, sanaa ni maisha!
Eldoret.. west indies.. Twende!
Klassique, kazi yetu ni quality,
Klassique, kila hatua ni clarity.
Klassique, all is kleen and klassy,
Sanaa ya kiwango, sisi ndiyo classy.
Klassique, twainua vipaji juu,
Klassique, ndoto zafika mbingu kuu.
Kutoka Eldoret hadi dunia nzima,
Klassique ndiyo jina lenye heshima.
Sanaa ni lugha, sisi twaizungumza,
Kila kipaji tunakipa tumaini kuangaza.
Tunaandika script zenye nguvu na ujumbe,
Mashairi na spoken word huwaka kama vimbe.
Tunachezesha dansi za jadi na kisasa,
Kila hatua jukwaani huleta furaha tele kabisa.
Tamthilia, filamu, matangazo ya biashara, yani advert
Documentary zetu hubeba nuru na maarifa.
Screen verses, screen narratives pia twazalisha,
Kila kazi yetu ubora hujitambulisha.
Ukiona Klassique ujue hakuna mchezo,
Tunatengeneza historia, si hadithi za leo.
West Indies, Kokwas Eldoret ndiyo maskani,
Klassique Studios, nyumbani kwa ubingwa wa sanaani.
Tunakuza vipaji, tunavipa mwanga mpya,
Kisha twavipeleka dunia, vikang'ae bila woga.
Klassique, kazi yetu ni quality,
Klassique, kila hatua ni clarity.
Klassique, all is kleen and klassy,
Sanaa ya kiwango, sisi ndiyo classy.
Shule, taasisi na kampuni tunahudumia,
Kila tukio letu kumbukumbu hujijengea.
Harusi, uzinduzi, gala na maadhimisho,
Klassique huacha tabasamu na pongezi mwisho.
Tulishafika majukwaa ya kitaifa na kimataifa,
Kazi zetu zimebeba sifa bila kuogopa ushindani hata.
Ubora ndiyo kauli, uaminifu ndiyo njia,
Kila mradi ukikamilika huacha historia.
Tunagundua vipaji, tunavilea kwa ustadi,
Kesho vinang'aa duniani kwa mafanikio ya kweli.
Hapo ndipo maana ya Klassique inaonekana,
Ndoto ya msanii kuwa kweli huanza.
Kitt Kevines ndiye kalamu ya maajabu, yani scritpwriter
Script na uongozaji kwake ni zawadi adhimu. Yeye ni director
Shady kwenye camera, picha safi kabisa, na ubunifu
Shivi director, kila scene ni maridadi hasa. Umuite mchizi
Kevo editor hukata kwa ustadi wa hali ya juu, editor osogo on the go.
Hon Sumbula senior editor, kazi huipa sura mpya.
Timu moja, moyo mmoja, lengo ni ushindi,
Klassique Media, sisi ndio chapa ya ubunifu.
Quality work, classic work,
Klassique Media ndiyo landmark.
All is kleen, all is klassy,
Kazi zetu hubaki classy.
Kutoka Kokwas mpaka dunia yote,
Tunainua sanaa kwa nguvu zote.
Klassique Media and Entertainment, jina la fahari,
Kesho ni yetu, leo tunaandika historia!
Chagua klassique
Klia kitu ni klassy
Ukue klassique