Mapenzi
Furaha
amani
kwangu
vimeumbwa
na
wewe
Huzuni
na
simanzi
pia
zimefutwa
na
wewe
Thamani
na
uzuri
wa
dunia
ni
kwasababu
nipo
nawe
Kwako
napata
pumziko
kwasababu
amani
ni
wewe 2.
Siwezi
kukweka
sehemu
yoyote
tofauti
coz
umenika
moyoni
Siwezi
mwingine
kumuweka
ulipo
kwasababu
we
umejaa
rohoni
Siwazi
mwingiiine
kwasababu
we
umejaa
ndotoni
Hata
dunia
na
vyote
vibadilike
wewe
kwangu
utabaki
wa
thamani
Varse .....
Huchekaga
alone
tu
kichwani
ukipita
coz
furaha
ni
wewe
Nitajifunga
bango
wote
wasome
wakipita
wajue
nipo
na
wewe
Uwe
na
furaha
iliyokamilika
moyoni
upo
mwenyewe
Nasi
ni
binadamu
hatuja
kamilika
so
nikikosa
nielewe...... ....
Verse
Amesema
shida
hata
dholuba
na
njaa
ye
atabaki
na
mimi
Ananipenda
haweki
masharti
mpaka
nashindwa
kuamini