Ni ndoto nzuri,furaha na matumaini..
Kwenu wawili,
Uzao wa malkia wangu(Ni fahari)
Oooooho! Huo wowo×2 w0w0
Mungu ibariki....Familia hiiii
Mungu ibariki....
Nasikia ufalme sahihi
Zawadi ! Nizawadi
Umeniheshimu...hhhh
Umenibadilishe jina)
Kiitikio×2
Noel dada zako hao
Mtambulishe na Enock. Noel dada zako hao
Mtambulishe na Enock × 3 Noel dada zako hao
Mtambulishe na Enock.