Asante
Baba,
asante
Munguuu
Asante
Jehova,
asante
munguu
Mr
L
Man
Ikelu,
sikiliza
Sauti
ya
moyo
wangu
inakuita
Kwako
wewe
Bwana
nimejificha
Katika
safari
hii
sitapotea
Mimi
ni
wako
tu,
milele
yote
Umenishika
mkono,
umenivusha
pote
Ooh,
Mungu
wangu,
sina
mwengine
Zaidii
ya
wewe,
Baba
yangu
Nina
kutumaini
wewe
Nina
kuamini
wewee
Nina
kuhusudu
wewe
Mungu
uliye
mkuu
maishani
mwangu
Mr
L
Man
Ikelu,
unajua
Bila
wewe
mimi
siwezi
kusonga
Endelea
kunipigania
kila
siku
Na
kunisimamia
katika
kila
hatua
Siku
zote
za
maisha
yangu,
Mungu
Ulinivusha
kwenye
dhoruba
na
vumbi
Ooh,
Mungu
wangu,
sina
mwengine
Zaidii
ya
wewe,
Baba
yangu
Nina
kutumaini
wewe
Nina
kuamini
wewee
Nina
kuhusudu
wewe
Mungu
uliye
mkuu
maishani
mwangu
Asante
Baba,
asante
Munguuu
Asante
Jehova,
asante
munguu
Mimi
ni
wako
tu
milele
yote
Ameni,
ameni,
ameni
Asante
Baba,
asante
Munguuu
Asante
Jehova,
asante
munguu
Mimi
ni
wako
tu
milele
yote
Ameni,
ameni,
ameni (
Asante
Baba) (
Mungu
mkuu,
Mr
L
Man
Ikelu) (
Twende
mbele,
twende
mbele) (
Milele
yote,
Ameni)