Frobits
🎵 A song made on Frobits

Siku Yangu Muhimu

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Leo

ni

siku

yangu

muhimu,

MUNGU

alinileta

katika

hii

Dunia.

Ahsante

kwa

wazazi

wangu

baba

na

mama

kwani

bila

uimara

wao

labda

nisingekuwepo

Leo

hii.

Hakika

najiona

mwenye

furaha

sana,

kwani

sio

rahisi

kuona

nimeongeza

mwaka

mwingine

Tena.

Naona

marafiki

wote

wakinipongeza,

hili

ni

jambo

jingine

linanipa

amani.

Nawapenda

sana

ndugu

zangu,

tufurahie

siku

hii

special

kwa

ajili

yangu.

Happy

birthday

kwangu

Miss

Nasha

More songs by 👑Kings Listen to songs created by others
FROBITS