BaNi njozi nzuri,furaha tumaini..
Kwenu wawili,
Uzao wa my queen(Ni fahari)
Oooooho! Huo wowo×2 w0w0
Mungu ibariki....Familia hiiii
Mungu ibariki....
Nasikia ufalme sahiihi
Zawadi ! Nizawadi
Umeniheshimisha...hhhh
Umenibadishisha jina)
Kiitikio×2
Noel dada zako hao
Mtambulishe na Enock.