Frobits
🎵 A song made on Frobits

Siku Yako Ya Kuzaliwa Mpenzi

0:000:00
Download
Make your own song
Continues securely on the web
Lyrics

[female vocals] Oshumu

mpenzi

wangu

usikilizapo

wimbo

huu

jua

kwamba

ni

mimi

mpenzi

wako

ninae

kupenda

sana

na

siku

ya

leo

ni

siku

ambayo

nataka

ujue

ya

kuwa

wewe

ni

kila

kitu

kwangu

katika

huu

ulimwengu

naomba

Mungu

akupe

maisha

marefu

na

yenye

baraka

tele

ili

tuweze

kufurahia

mwanza

mpya

wa

familia

yetu

ijayo

naamini

wewe

ni

baba

bora

na

ni

mume

bora

pia

hivyo

namuomba

Mungu

akufungulie

milango

yote

ya

baraka

ilitofungwa

zidi

yako

kheri

ya

siku

ya

kuzaliwa

mpenzi

wa

moyo

wangu

naamini

kuna

siku

utafanya

yale

unatamani

kuyafanya

juu

yangu

na

mungu

wetu

wa

mbinguni

atakuongoza

katika

hilo

nakupenda

sana

More songs by 🥀💃💃 Listen to songs created by others
FROBITS